KARIBUNI KWENYE BLOG YANGU ILI USIPITWE NA HABARI KEMKEM,KWA HABARI MOTOMOTO NDANI NA NJE YA NCHI MICHEZO NA BURUDANI NA ZINGINEZO NYINGI UNGANA NAMI NICK 4REAL

Sunday, August 25, 2013

HIVI NDIVYO CHEZA BILA KUKUNJA GOTI UNAVYOKUBALIKA KIMATAIFA

WANAMZIKI wanaosumbua soko bongo wameendelea kusumbua soko kimataifa baada ya kutoka na bonge la colabo linalohit now kwenye  baadhi ya redio hapa town
Ngoma hiyo ikiwa mpya kabisa ya ay akiwa mwana f.a wakimshirikisha J.Martins kutoka west Africa [NIGERIA]  CHEZA CHEZA BILA KUKUNJA GOT  Marco Chali amefanya production pamoja na melody ya ngoma yote  j martins kaingiza vocals so do AY na MwanaFA
mwanafa,jmartin&ay


kwa sasa wapo africa kusini kurekodi video yake ambayo inasubiliwa kwa hamu na wapenzi wa mziki huo

usiikose kaa mkao wa kula inakuja sooon

No comments :

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...