Ushindani ulikuwa mkubwa sana katika vipengere vyote vilivyowaniwa na wasanii hata makundi mbalimbali ya muziki tanzania na afrika mashariki.
Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kujua mkali nani kati ya ALI KIBA na DIAMOND lakini ubisi umekwisha kufuatia kupatikana kwa tuzo hizo kati ya wasanii hao wawili.
Ili kujua nani kamuongoza mwenzake angalia washindi wa tuzo hizo katika list mbalimbali hapa chini.
KUNDI BORA LA MUZIKI (BONGO FLEVA)
YA MOTO BAND
KUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU)
JAHAZI MORDEN TAARAB
MWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI)
JOSE MARA
MWIMBAJI BORA WA KIKE(TAARABU)
ISHA MASHAUZI
WIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA)
MWANA(Alikiba)
WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
WALE WALE(Fm Academia)
MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU)
MZEE YUSUPH
WIMBO BORA WA RNB
SISIKII(Jux)
MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA)
VANESSA MDEE
MWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA)
ALI KIBA
MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
VANESSA MDEE
MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME
ALI KIBA
WIMBO BORA WA HIP HOP
KIPI SIJASIKIA(PROF JAY)
WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL
LET THEM KNOW(Maua)
RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
FEGASON
MSANII BORA WA HIP HOP
JOH MAKINI
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
SURA YAKO (Sauti Sol)
MTUNZI BORA WA MWAKA (TAARABU)
MZEE YUSUPH
MTUNZI BORA WA MWAKA (BENDI)
JOSE MARA
MTUNZI BORA WA MWAKA (HIP HOP)
JOH MAKINI
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(BONGO FLEVA)
NAH REAL
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(TAARABU)
ENRICO
MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO (BENDI)
AMOROS
VIDEO BORA YA MWAKA
MDOGO MDOGO(DIAMOND)
WIMBO BORA WA AFRO POP
MWANA(AliKiba)
WIMBO BORA WA ZOUK RUMBA
NTAMPATA WAPI(Diamond)
WIMBO WENYE ASILI YA KITANZANIA
WAITE(Mrisho Mpoto)
MSANII BORA CHIPUKIZI
BARAKA DA PRINCE
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
KIBOKO YANGU(Mwana FA feat Ali Kiba)
BENDI BORA YA MWAKA
FM ACADEMIA
MTUNZI BORA WA MWAKA
ALI KIBA
No comments :
Post a Comment