BOKO HARAM
-Ilianzishwa 2002
• Hapo awali iliangazia kupinga elimu ya wazungu - Boko Haram inamaanisha " Elimu ya Magharibi ni haramu " kwa lugha ya Hausa
• Ilizindua operesheni za kijeshi 2009 ili kuunda taifa la kiislamu.
•
Maelfu wauwawa, hususan kaskazini mashariki mwa Nigeria
- lakini pia
mashambulizi kwa polisi na makao makuu ya Umoja wa Mataifa yaliyoko
Abuja.
• Watu milioni tatu waathiriwa.
• Kutangazwa kuwa kundi la kigaidi na Marekani 2013.
Boko Haram imepanua maeneo inayotawala kwa kuangalia hyo picha utaweza ona jinsi boko haram inavyopanua maeneo yake wa utawala
No comments :
Post a Comment