kijana akipewa kipigo |
Mchana kweupeee, mtu mmoja kisiwani Pemba amejeruhiwa vibaya baada ya kupata kipigo kutoka kwa askari jamii. Mkasa huo umetokea katika kijiji cha Msingini Chake chake mkoa wa kusini pemba ambapo Polisi jamii wa Shehia hio waliamua kumpiga mtu huyo baada ya kuonekana akila mchana akiwa pamoja na wenzake watatu ambao walifanikiwa kukimbia na kutokomea kusiko julikana.
No comments :
Post a Comment